Kampunikubwa duniani ina yo usika na utengenezazi wa vifaa vya umeme hususani simu za mikononi komputa, kampuni hiyo ijulikanayo kama (microsoft) imezindua simu mpya aina ya windows phone ambayo ime ongezewa uwezo zaidi na kuwekewa window 10 OS.
Msemaji wake aliongezea kuwa simu hii ina uwezo wakutumika kama komputer ila mpaka ukiwa na kifaa kiitwacho MICROSOFT DISPLAY DOCK ambacho kina sehemu ambazo unaweza uka pachika USB cables, kwamaelezo ya ziada tazama video hapo chini uone mambo yalivyo kuwa.

